Swahili Videos

Waziri Joe Mucheru ataka CA kuanza kufunga tovuti zote za ngono 

Waziri wa teknolojia za mawasiliano Joe Mucheru ameamuru mamlaka ya mawasiliano kufunga mara moja tovuti zote chafu zenye picha za ngono.
Hata hivyo, mkurugenzi wa mamlaka hiyo Francis Wangusi anasema kuwa hakuna sheria mwafaka ya mchakato wa kutekeleza hilo.

Show More

Related Articles