Swahili Videos

Sonko aahirisha utekelezaji wa marufuku ya magari ya umma kwa miezi 3

Kufuatia mahangaiko ya wasafiri jijini hapo jana,gavana wa Nairobi Mike Sonko amewapa wahudumu wa magari ya uchukuzi wa umma makataa ya miezi mitatu kuweka mikakati kuhakikisha marufuku hiyo inaanza kutekelezwa.
Akiongea na wahudumu pamoja na wamiliki wa matatu jijini Nairobi asubuhi ya leo , sonko amesema kuna umuhimu wa kuwahusisha washika dau katika sekta ya uchukuzi kabla ya kuidhinisha makataa hayo.

Show More

Related Articles