Swahili Videos

Rais na naibu wake wawatakia wakenya krismasi njema

Viongozi kote nchini wameanza kusherehekea  krismasi .
Rais Uhuru Kenyatta hapo jana akielekea Pwani huku naibu wake William Ruto akiwa nyumbani kwake kaunti ya  Uasin gishu ambapo alikowapa lishe za krismasi wenyeji.
Viongozi hawa sasa wamewataka wakenya  kuwasaidia wasiojiweza anavyoarifu Angela Cheror.

Show More

Related Articles