MichezoSwahiliSwahili Videos

Nyota Ya Eliud Kipchoge

Ni mwanariadha aliyepokea tuzo nyingi mno katika taaluma yake haswa katika mwaka  wa 2018, ambapo alishinda mbio za London marathon , akavunja rekodi ya marathon duniani na kisha kutangazwa kama wanariadha bora mwaka huu.
Hii leo mwanahabari wetu Wanjiku Mwenda anazungumzia taaluma yake Eliud Kipchoge , kazi ngumu na nidhamu ya hali ya juu, ambayo kila mwanariadha lazima apate ili kupata mafanikio ya kiwango cha juu.

Show More

Related Articles