Swahili Videos

Mvuke wa uhai : Kawi ya mvuke yatumiwa na wenyeji kupata maji

Ukosefu wa maji katika sehemu nyingi za nchi haswa nyakati za kiangazi huwatatiza wengi, na ni hali amabyo imepelekea mkwaruzano kati ya jamii na wanyama pori katika sehemu nyingi.

Hata hivyo, wakaazi wa mji mdogo wa Eburu katika kaunti ya Nakuru, walilazimika kubuni mbinu za kukabiliana na ukosefu wa maji, kwa kutumia mvuke unaotoka ardhini katika eneo hilo.

Dan Kaburu anaangazia mbinu hiyo ya wenyeji wa eburu ya kutumia mifereji ya mabati ili kupoza mvuke kisha kupata maji.

Show More

Related Articles