Swahili Videos

Museveni ajivinjari kwenye SGR

Ahadi ya rais Uhuru Kenyatta kwa mgeni wake na jirani mwema rais yoweri museveni wa uganda kwamba hii leo museveni atakuwa rais wa kwanza kuitumia reli ya kisasa kusafiri kutoka Mombasa hadi Nairobi imetimia.
Mapema asubuhi ya leo wawili hao walizuru bandari ya mombasa na baada ya makubaliano ya kupiga jeki uhusiano wa kibiashara ,sasa kenya itaipa uganda ardhi katika eneo la Naivasha kwa matumizi ya kujenga bandari ya nchi kavu ili kukimu mahitaji yake ya kibiashara.

Show More

Related Articles