Swahili Videos

Mlima Moshi : Juhudi za kuufufua msitu wa Eburu zafua dafu

Uharibifu wa misitu na vyanzo vya maji humu nchini umechangia pakubwa upungufu wa maji katika mito, hali ambayo huathiri pakubwa wanaoishi nyanda za chini.
Msitu wa Eburu ambao ni sehemu ya msitu wa Mau, na ambao ni wa umuhimu mkubwa kwa ziwa naivasha, ulukuwa umeharibiwa kwa kiwango kikubwa katika mwaka wa 2007 na 2009.
Hata hivyo juhudi za kuuokoa zimefua dafu, huku jamii zinazoishi karibu na ambazo zilikuwa mstari wa mbele katika kuchoma makaa msituni humo zikihusika pakubwa katika kuuhifadhi.

Show More

Related Articles