Swahili Videos

Mauaji ya Tsavo : Uchunguzi wa DNA wafanywa Nairobi 

Shughuli ya kuchukua chembechembe  za DNA kutoka kwa familia ambazo wapendwa wao 6 walipatikana wameuawa katika mbuga ya wanyamapori ya Tsavo imeng’oa nanga hii leo, huku wapasuaji wa maiti serikalini wakiendesha shughuli hiyo ambayo ilihudhuriwa na jamaa za wahanga hao .
Kulingana na wapasuaji wa serikali ,  itachukua  kati ya miezi mmoja hadi  minne kwa matokeo kutolewa.

https://youtu.be/IIcBe9v5eQw

Show More

Related Articles