Swahili Videos

Matiang’i : Usajili wa Huduma Namba wafikia watu milioni 5

Waziri wa usalama Dkt Fred Matiangi leo amezuru kaunti ya Kisumu kukagua zoezi la usajili wa huduma namba linaloendelea kote nchini.
Matiang’i  amesema kuwa  kufikia sasa  wakenya zaidi ya milioni tano wamejisajili kupitia huduma namba akisema serikali itafungua vituo hivyo vya kujisajili kuanzia saa kumi na mbili alfajiri sehemu za miji kuwawezesha watu kujitokeza na kujisajili .

Show More

Related Articles