Swahili Videos

Makali ya ukame : Watu wawili wamefariki Turkana

Zaidi ya wakenya elfu mia nane wameathirika  na janga la ukame nchini, huku kaunti ya Turkana ikiathirika zaidi.
Kulingana na waziri wa ugatuzi eugene wamalwa, serikali kuu imeweka mikakati ambayo itahakikisha wamekabiliana vilivyo na janga hilo.

Show More

Related Articles