Swahili Videos

Magoha ahojiwa na bunge : Aliteuliwa waziri wa elimu na rais

Waziri mteule wa elimu Profesa George Magoha hii leo ameahidi kuwa atatumikia vilivyo wizara ya elimu bila ubaguzi ukabila au mapendeleo  kwani yeye ni msomi na anaamini atabadilisha wizara hiyo kikamilifu.
Akihojiwa mbele ya  kamati  ya bunge ya uteuzi, profesa Magoha  ameonya iwapo ataidhinishwa kama waziri wa elimu, hatakubali ufisadi katika wizara yake akiahidi kutekeleza mtaala mpya.

Show More

Related Articles