Swahili Videos

Kisirani Kisauni : Polisi wanasa watu 10 baada ya taarifa ya K24Tv

Siku moja tu baada ya runinga ya K24 kupeperusha makala maalum yenye kichwa Kisirani Kisauni kuhusu genge la wahalifu ambalo limekuwa likiwahangaisha wakazi wa mtaa wa Kisauni Mombasa, maafisa wa polisi hii leo wamewatia mbaroni watu kumi kuhusiana na uhalifu huo.
Hapo jana baada ya taarifa hiyo, magenge hayo yalivamia wakaazi wa mtaa wa Kisauni katika hali ya kulipiza kisasi na kuwajeruhi watu kadhaa.

Show More

Related Articles