Swahili Videos

Kero ya sokwe Murang’a

Wenyeji wa kaunti ya Murang’a wamepigwa na butaa, kwa sababu ya utundu wa sokwe .
Sokwe hao wamezoea kunyofoa sehemu nyeti za mifugo hasa kondoo na mbuzi, huku wakati mwingine waking’oa macho.
Kwa sasa wameshindwa la kufanya huku wakiomba serikali kuwasaidia.

https://youtu.be/qA_w8KFtmws

Show More

Related Articles