Swahili Videos

Baba na Mama wampiga hadi kufa mwanao mtahiniwa wa KCPE 2018

Polisi katika mpaka wa kaunti za Kakamega na Trans Nzoia wanamsaka mwanamume mmoja kwa jina Barasa, anayedaiwa kumpiga hadi kufa bintiye aliyepokea matokeo yake ya KCPE hapo jana.
Inadaiwa Barasa aliamua kumuadhibu bintiye aliyepata alama 277 baada ya yeye kuelekea kwa rafiki yake wa kiume na kulala kwake.

Show More

Related Articles