Raila aikashifu serikali kwa kutoimarisha usalama uliodorora

Kinara wa muungano wa NASA Raila Odinga amekashifu vikali serikali ya Jubilee kwa kile alichokitaja kuwa utepetevu katika udumishaji usalama kaunti ya Baringo. Raila aliyeandamana na viongozi wakuu katika muungnao wa NASA akiwemo Kalonzo Musyoka kuwarai wakazi wa Baringo kuwapigia kura,ameisuta serikali...
Read more
Mume auawa Kitengela kufuatia zogo la nyama choma

Kijana mmoja mjini Kitengela kaunti ya Kajiado ameuawa kwa kudungwa kisu na mwenzake wakati wakizozania nyama choma. Vijana hao walikuwa wakibugia mvinyo katika eneo la burudani wakati wa tukio hilo. Marehemu alikuwa amejaribu kuungana na wenzake wawili katika mlo huo lakini hawakumkubalia na hapo ndipo...
Read more
Maafisa 5 zaidi wa polisi wauawa kwenye mlipuko,Garissa

Maafisa watano wa polisi wamefariki kaunti ya Garissa baada ya gari walimokuwa wakisafiria kukanyaga kilipuzi cha kutegwa ardhini kwenye barabara ya malelei kuelekea Kulan. Shambulizi hilo limejiri huku maafisa wanne kati ya tisa waliofariki jana kaunti ya Mandera wakizikwa mjini Mandera. Kando na hayo...
Read more
Rais Kenyatta ahimiza amani wakati na baada ya uchaguzi

Rais Uhuru Kenyatta hii leo ameliongoza taifa katika hafla ya maombi ya kitaifa ambayo huandaliwa kila mwaka katika hoteli ya Safari Park hapa jijini Nairobi. Rais Kenyatta, amewarai wakenya kudumisha amani, huku akiongeza kuwa taifa hili litasalia kuwepo pai na kuzingatia ni nani atakayechaguliwa wakat...
Read more