Kanisa katoliki lazindua maombi ya utulivu kwenye kampeni na uchaguzi

Rais Uhuru Kenyatta hii Jumamosi ametoa changamoto kwa wanasiasa kutenda kile wanachohubiri katika masuala ya uongozi na uwazi. Rais aliyasema hayo katika uwanja wa chuo kikuu cha Nairobi, alipohudhuria uzinduzi wa kampeni ya amani iliyoongozwa na kanisa Katoliki ambapo aliahidi kufanya kila awezalo kuh...
Read more