English Videos

Mahakama yaagiza serikali imfidie Miguna Miguna Sh Milioni 7.2 

Mahakama kuu hapa Nairobi imemfidia shilingi milioni saba, wakili na mwanaharakati Miguna Miguna, aliyefurushwa nchini na serikali , kwa kile mahakama ilitaja kama  kukiukwa kwa haki zake za kimsingi.
Jaji Chacha Mwita, amesistiza kuwa Miguna Miguna ni Mkenya kinyume na vile ilivyodaiwa awali na serikali kuwa Miguna ni raia wa Canada.

Show More

Related Articles