Makamishna wapya wa IEBC watarajiwa ofisini baadaye Januari

Makamishna wapya wa IEBC watarajiwa ofisini baadaye Januari

Bunge la kitaifa linatarajiwa kufanya mkao maalum Jumanne ijayo, kujadili majina ya makamishna wateule wa tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC.
Hii inamaanisha kuwa huenda kenya ikapata makamishna wapya kabla ya mwisho mwa juma lijalo, baada ya zoezi la kuwakagua kuhitimishwa mapema siku ya Jumatano na kamati ya bunge kuhusu sheria.
Mwenyekiti wa kamati hiyo Samuel Chepkonga amesema makamishna hao wanatarajiwa kuongoza awamu ya pili ya kitaifa ya kuwasajili wapiga kura kuanzia siku ya Jumatatu, tarehe 16 Januari.

Also read:   IEBC Yapata Baraka Za Umoja Wa Mataifa.

Related posts

MNL App
MNL App