Jubilee yakita kambi kaunti Meru na kuwarai wenyeji kuwapigia kura

Kwa siku ya pili muungano wa Jubilee ukiongozwa naye rais Uhuru Kenyatta imekita kambi katika kaunti ya Meru, ambapo rais aliwarai wenyeji kuwa ni wakati tena kuwapigia kura. Kenyatta alisisitiza kuwa huna haja, kuendelea, kulijenga taifa, na kuepuka  siasa za chuki, huku akiusuta upinzani kuwa hauna aj...
Read more
Wenyeji Rongai walalamikia ongezeko la visa vya wizi wa punda

Wafugaji wa punda wanaotumia rukwama hasa kwenye biashara zao waliandamana Jumamosi 24 katika mtaa wa Rongai  kutokana na wizi wa punda ambao umekithiri sana katika eneo hili. Kwa muda wa mwaka mmoja zaidi ya punda 58 wameibiwa huku ikidaiwa kuwa wengi wao wanaelekezwa kwenye vichinjio mbalimbali nchini...
Read more
Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhan

Waumini wa dini ya Kiislamu kote nchini walijumuika na wenzao kote ulimwenguni kuadhimisha siku tukufu: ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhan, hii ikiashiria kuiaga mwezi huu mtukufu wenye baraka tele. Vile vile hii ikiwa ndiyo kumi la mwisho la usiku wa Leylataul Gadr, usiku uliyobora ambapo mu...
Read more
NASA: Hatuna njama ya kusukuma kuundwa kwa serikali ya  mseto

Vigogo wa NASA wamekita kambi katika kaunti ya Bungoma, kwenye harakati za kuwarai wenyeji kuupigia kura muungano huo na kusisitiza kuwa  hawana njama yoyote ya kusukuma serikali ya mseto kati yao na Jubilee. Anders Ihachi amesalia kwenye msafara huo ambapo kwenye mkutano wa mwisho katika uwanja wa Post...
Read more
Kenyatta awarai wenyeji kujitokeza kwa wingi kupiga kura August nane

Rais Uhuru Kenyatta amesema kuwa huenda kinara wa upinzani Raila Odinga ana njama ya kuiba kura wakati wa uchaguzi, kutokana na madai yake ya kila mara kuwa kuna njama ya kuiba kura. Akizungumza wakati wa ziara yake ya Kaunti ya Meru ambayo ililenga kuvunja nguvu ubabe wa NASA katika eneo hilo, Kenyatta...
Read more