sasa anamtaka rais Uhuru Kenyatta kuitisha kikao cha dharura cha wadau mbali mbali kusaka mwafaka kuhusiana na ushuru wa asilimia 16 unaotozwa bidhaa za mafuta