Ari na Ukakamavu
-
Swahili Videos
Ari na Ukakamavu : Leyla Mohamed alitumbuiza taifa zikukuu ya mashujaa
Sifa zake zilitamba kote nchini baada ya wimbo wake uliowaacha wengi vinywa wazi kutokana na sauti yake ya kipekee Leyla…
Read More » -
Habari
Ari na ukakamavu: Kijana wa miaka 9 anatengeneza fremu za picha kwa maganda ya mayai
Wengi wetu tumezoea kula mayai haswa yale ya kuchemsha na kisha kuyatupa magamba yake, ila uchunguzi unadhihirisha kuwa magamba yale…
Read More » -
Habari
Ari na Ukakamavu:Ubunifu wa wanafunzi shuleni Joyland kusaidia walemavu
Kwa wanafunzi wengi haswa walio na ulemavu, changamoto huwa ni nyingi mno wanapoendelea na masomo na hata kufanikisha maisha yao…
Read More » -
Habari
Ari na Ukakamavu: Wanafunzi watengeneza mifuko kwa kutumia unga wa mihogo
Baada ya matumizi ya mifuko ya plastiki kupigwa marufuku hapa nchini mwaka jana, wanafunzi wawili wameweza kuzindua jinsi ya kutengeneza…
Read More » -
Habari
Ari na Ukakamavu: Bidii ya Sheldon Ouma, aliyebobea katika mpira wa kikapu
Mpira wa kikapu ni mojawapo wa fani ambazo zimepata umaarufu sana duniani huku wengi wakiushabikia. Hapa nchini, wengi wamejitosa kwenye…
Read More » -
Habari
Ari na Ukakamavu : Bidii ya msichana Vivian Muthoni ambaye ni bingwa wa chess
Mchezo wa Chess unaaminika chimbuko lake ni taifa la India na wengi wameutambua kama mchezo wa mabwenyeyenye. Hata hivyo, kufikia…
Read More » -
Habari
Ari na ukakamavu : Tunatambua kipaji cha uimbaji cha malkia Amani,Githurai
Mwanafunzi mmoja mwenye umri wa miaka 13 kutoka mtaa wa Githurai, amejinyakulia nafasi ya kuigiza jijini London Uingereza, kutokana na kipawa…
Read More » -
Habari
Ari na Ukakamavu: Bidii ya mvulana mdogo aliyeanzisha kikundi chake cha muziki
Kwenye makala ya Ari na Ukakamavu wiki hii tunamuangazia kijana mwenye umri wa miaka 5 ambaye amejitosa kwenye sanaa ya uimbaji…
Read More »