HabariMilele FmSwahili

Ziara ya Rais eneo la pwani yaingia siku ya pili

Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuwasili eneo la watamu kaunti ya kilifi wakati wowote sasa katika siku ya pili ya ziara yake eneo la Pwani. Rais Kenyatta atakutana na viongozi wa kisiasa mjini watamu kabla ya kuzuru eneo la Gede. Ameratibiwa pia kuzuru vipingo na Mtwapa ambapo atahutubia mikutano kadhaa ya hadhara.

Show More

Related Articles