HabariMilele FmSwahili

Wanafunzi wa chuo cha MultiMedia Rongai waandamana na kufunga barabara ya Magadi

Shughuli za uchukuzi zinatatizika katika barabara ya Magadi hapa jijini Nairobi mapema hii kufuatia maandamano ya wanafunzi wa chuo cha Multi Media huko Rongai.

Wanafunzi hao wanalalamikia kufariki kwa mmoja wa wanafunzi wa chuo hicho wiki jana baada ya kugongwa na matatu wanayodai ilikuwa inaendeshwa kwa mwendo wa kasi.

Sasa wametoa onyo kwa matatu za kampuni ya Ongataline wakitaja kuhangaishwa kila mara

Show More

Related Articles