HabariMilele FmSwahili

Wamiliki wa majengo katikati ya jiji la Nairobi wapewa wiki 2 kupaka rangi upya majengo yao

Wamiliki wote wa majengo kati kati ya jiji la Nairobi wamepewa makataa ya wiki mbili kupaka rangi upya majengo yao. Katika taarifa kaimu katibu wa serikali ya kaunti Leboo Morintat ametoa onyo kali kwa watakaokiuka amri hiyo kuwa hatua kali za sheria zitachukuliwa dhidi yao. Amesema lengo la hatua hiyo ni kuboresha sura nzuri ya mji.

Show More

Related Articles