HabariMilele FmSwahili

Seneta wa kaunti ya Nandi Samson Cherargei akamatwa na maafisa wa DCI

Seneta wa kaunti ya Nandi Samson Cherargei amekakamatwa katika makaazi yake mjini Eldoret.

Cherargei amekamatwa kufuatia tuhuma za kuwatishia wanaopinga azma ya naibu rais Dkt William Ruto kuwania urais kwamba watakabiliwa vilivyo hivi karibuni.

Cherargei amekamatwa baada ya kudinda kutii amri ya kujisalimisha katika idara ya jinai alivyoamrishwa hapo jana kufika mbele yake mapema leo

Show More

Related Articles