Swahili
-
Habari
Rais mstaafu Mwai Kibaki aitembelea familia ya mwendazake Kenneth Matiba
Rais mstaafu Mwai Kibaki hii leo ametembelea familia ya marehemu Kenneth Matiba nyumbani kwake Limuru na kujumuika na familia na…
Read More » -
Habari
Raia wa kigeni wasio na vibali vya kazi wapewa siku 60 kujipanga
Serikali iko kwenye harakati ya kuzindua mbinu ya usajili ya kidijitali, ukiwemo mpango wa pamoja wa kujitambulisha, utakaojumuisha stakabadhi zote za…
Read More » -
Habari
Kofi la majuto : Mkuu wa polisi Mathira West Kiptoo Birgen asimamishwa kazi
Inspekta jenerali wa polisi Joseph Boinnet amemsimamisha kazi afisa mkuu wa polisi eneo la Mathira magharibi kaunti ya Nyeri, Kiptoo Birgen…
Read More » -
Habari
Raila amemtembelea Rais mstaafu Kibaki nyumbani kwake,Muthaiga
Kinara wa upinzani Raila Odinga amefanya kikao na rais mstaafu Mwai Kibaki katika makaazi yake eneo la Muthaiga jijini Nairobi…
Read More » -
Habari
Boinnet amrisha kusimamishwa kazi kwa OCS wa kituo cha polisi cha Kiamariga Nyeri
Inspecta generali wa polisi Joseph Boinnet ameamuru kusimamishwa kazi huku uchunguzi ukiendelea, OCS wa kituo cha polisi cha Kiamariga Nyeri…
Read More » -
Habari
Raila akutana na gavana wa Nairobi Mike Sonko
Raila alikutana na gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko ambapo alimrai gavana huyo kutumiza ahadi alizowapa wenyeji wa kaunti hii.…
Read More » -
Burudani
Bahati Ahuzunishwa Na Hatua Ya Harmonize Kutoisukuma Kazi Ya WillyPaul
Bahati afunguka kwa nini kaachia kazi nyingine “CHIGI CHIGI” kabala yakusukuma ile waliokua wamefanya na Aslay . Akizungumza na…
Read More » -
Habari
Gavana wa Wajir aelekea mahakama ya upeo kupinga uamuzi wa kubatili ushindi wake
Gavana wa Wajir Mohammed Abdi ameelekea mahakama ya upeo kupinga uamuzi wa mahakama ya Rufaa ulioridhia ushindi wa mahakama kuu…
Read More »