HabariMilele FmSwahili

Nyama ya kilo 3000 ya wanyama pori na jokovu 9 zanaswa na KWS katika soko la Burma

Nyama ya kilo 3000 ya wanyama pori sawa na jokovu tisa zimenaswa katika soko la Burma hapa jijini Nairobi. Katika oparesheni iliyoendeshwa na makachero wa KWS,wafanyabiashara watatu wametiwa mbaroni kuhusiana na nyama hiyo.

Shughuli ya ukaguzi wa nyama katika soko hilo unatarajiwa kuendelea hii leo huku washukiwa wakisubiri kufikishwa mahakamani.

Show More

Related Articles