Ronaldo ashinda tuzo ya mchezaji bora duniani

Mshambuliaji wa Real Madrid na Ureno Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia ya FIFA Ronaldo, 31, amewapiku Lionel Messi wa Barcelona na Antoine Griezmann wa Atletico Madrid katika sherehe zilizofanyika mjini Zurich, Uswisi.Ronaldo pia alishinda tuzo ya Ballon d’Or mwezi Disemba...
Read more
Tottenham Yaisimamisha Chelsea

Tottenham imefutilia mbali ndoto ya Chelsea kutaka kuweka historia katika ligi kuu ya Uingereza kwa kushinda mechi 14 baada ya viongozi hao wa jedwali kutitigwa magoli 2-0 ugani White Hart Lane. Spurs wamechupa hadi nafasi ya tatu ya msimamo wa ligi baada ya Dele Alli kufunga magoli yote mawili kwa njia...
Read more
Wabunge Wakenya Wazidi Kushamiri Kwenye Michezo Ya Wabunge Mombasa.

Michuano ya wabunge wa afrika mashariki inaendelea kunoga kaunti ya Mombasa huku ikiingia siku yake ya nne leo katika viwanja vya ukumbi wa Makande na Mbaraki sports club. Kwenye siku ya tatu ya mashindano hayo timu za voliboli za Kenya ziliendelea kushamiri kwa kuwatandika wapinzani wao. Wabunge wa Ken...
Read more