MIHEMKO YA KAUNTI 2017 : Tharaka Nithi

Wenyeji wa kaunti ya Tharaka Nithi hawatazingatia chama atakachojiunga nacho mwaniaji wa kiti cha ugavana wakati wa kupiga kura bali utendakazi wake na rekodi ya kimaendeleo. Aidha kulingana na wenyeji wengi, watampigia kura rais Uhuru Kenyatta kwa kuwa kulingana nao ni ngome yake kuu. Katika Mihemko ya...
Read more
Ndoa za wanawake kwa wake wenzao zinatatiza Ukambani

Katika tamaduni za kiafrika, ikiwa mwanamke hatajaaliwa kupata mwana hasa wa kiume, basi mumewe angeruhusiwa kumuoa mke wa pili ili aweze kumzalia wana. Lakini katika jamii ya wakamba hali ni tofauti,wanawake wasio na uwezo wa kujifungua huruhusiwa kuwaoa wake ili waweze kuwazalia,ndoa inayojulikana kam...
Read more
Wasiotambulika : Tunamtambua mkunga mashuhuri hospitalini Kenyatta

Kina mama wengi wanaolekea kujifungua huingiwa na kiwewe na wasiwasi ifikapo wakati huo, kwani baadhi yao huona kwamba ,kipindi cha kujifungua, ni kama kukumbatia uchungu na mauti mtawalia. Lakini kulingana na mkunga mmoja mashuhuri kutoka hospitali kuu ya Kenyatta Bi Nerea Ojanga, mama akiwa mtulivu na...
Read more
Almasi : Mama anayewafunza watoto wachochole umuhimu wa usafi

Bintiye alipofikisha umri wa mwaka moja unusu,,alipata matatizo ya kuendesha na alipojaribu kutafuta ushauri alielezwa kuwa ni kawaida kwa watoto wa umri huo kukumbwa na matatizo hayo ya tumbo. Lakini alifahamu kuwa hali hiyo inaweza kusababisha kifo kwa mtoto,hivyo basi akajitwika jukumu la kuwaepusha...
Read more