HabariMilele FmSwahili

Mahakama yaongeza muda wa kuzuia serikali kutoza 1.5% ya mishahara ya wakenya kufadhili mpango wa makaazi bora

Mahakama imeongeza muda wa kuizua serikali kutekeleza matozo ya asilimia 1.5 kwa mishahara ya wafanyikazi kufadhili mpango wa makaazi bora Jaji Maureen Onyango ametoa uamuzi huu kuruhusu kujumuishwa maombi yote yaliyowasilishwa na makundi tofauti kuhusiana na kesi hiyo. Sasa watarejea mahakamani Mei 27.

Show More

Related Articles