HabariPilipili FmPilipili FM News

Wakenya Wamtaka Rais Kenyatta Kuzungumzia Zaidi Kuhusu Gharama Ya Juu Ya Maisha Kwenye Hotuba Yake.

Ufisadi na gharama ya juu ya maisha ndio mambo ambayo wakenya wengi wanamtaka rais Uhuru Kinyatta kuyapa kipao mbele wakati akihutubia taifa adhuhuri hii leo.

Wengi pia wanamtaka rais Kenyatta kuwafuta kazi maafisa fisadi katika serikali yake , wakiwemo baadhi ya mawaziri wanaohusishwa na ufisadi.

Rais Uhuru Kenyatta atahutubia taifa kupitia bunge masaa ya adhuhuri hii leo.

Show More

Related Articles