English VideosHabariK24 TvSwahiliVideos

SHAMBULIZI LA MALINDI: Polisi watoa picha za washukiwa 3 na kitita cha Ksh. 1m

Polisi wamefichua majina na kutoa picha za washukiwa wakuu watatu wa shambulizi la kijiji cha chakama huko malindi kaunti ya Kilifi.

Haya yametangazwa na Inspekta Jenerali wa Polisi aliyedokeza kwamba washukiwa hao pia huenda walihusika na utekaji nyara wa mwanamke mmoja raia wa Italia Sylivia Romano.

Aidha, polisi wameahidi kutoa kitita cha shilingi milioni moja kwa yeyote atakayetoa taarifa itakayosaidia kutiwa nguvuni kwa washukiwa hao na kumpata mateka huyo raia wa Italia.

Show More

Related Articles