HabariSwahiliVideos

Penzi La Sumu : Mwanafunzi amuua mpenziwe wa kike chuoni KEMU

Miili ya wanafunzi wawili wa vyuo vikuu vya Kenya Methodist ‘KEMU’ na chuo kikuu cha Chuka ilipatikana ikiwa imeanza kuoza katika chumba cha malazi cha mwanafunzi wa chuo cha KEMU.
Wawili hao wanasemekana kuwa wapenzi huku polisi wakisema huenda mwanafunzi wa kiume alimdunga kisu mpenziwe kabla ya kujitia kitanzi.

Show More

Related Articles