HabariSwahili

Ni miaka 7 tangu mkasa uliosababisha vifo vya zaidi ya watu 100

Miaka saba iliyopita siku kama ya leo, taifa nzima lilikumbwa na msiba, kufuatia moto mkubwa uliozuka katika mtaa wa mabanda wa Sinai jijini Nairobi, na zaidi ya watu 100 kuangamizwa na miale ya moto.
Mwanahabari wetu Grace Kuria alizuru eneo hilo kutathmini hali iwapo kuna funzo tulilopata kutokana na mkasa huo, na la mno iwapo manusura wamefungua ukurasa mpya wa maisha.

Show More

Related Articles