HabariSwahili

Msaidizi wa Gavana Obado kuzuiliwa tena kwa siku 14

Michael Oyamo,msaidizi wa gavana wa Migori Okoth Obado ataendelea kuzuiliwa baada ya jaji Jessie Lessit kuiahirisha kesi ya mauaji inayomkabili hadi tarehe 8 mwezi Oktoba ili kutathmini iwapo ataachiliwa kwa dhamana.
Kama mwanahabari wetu Grace Kuria anavyotueleza, uamuzi huo uliafikiwa baada ya Oyamo kupitia wakili wake kumtaka jaji Lessit kujiondoa kwenye kesi hiyo.

Show More

Related Articles