HabariK24 TvSwahiliVideos

Misitu ya kiu : Ni mwaka mmoja tangu marufuku ya ukataji miti

Misitu ya kiu

Mwaka mmoja tangu serikali ipige marufuku ukataji miti katika misitu yote ya umma kote nchini, ukataji huo umesitishwa, mbali na visa vichache vilivyoripotiwa hapa na pale.

 Hata hivyo, kiwango cha maji katika mito mingi humu nchini kimesalia chini mno, huku baadhi ya mito ikikauka kabisa, na kuacha mahangaiko makubwa haswa kwa watu na wanyama wanaoishi kwenye maeneo ya nyanda za chini. Dan Kaburu anaangazia taarifa hiyo mwaka mmoja baada ya marufuku hiyo.

 

Show More

Related Articles