HabariSwahili Videos

Maafa ya Ethiopia : Serikali yaandaa mkutano na familia

Familia za wakenya waliopoteza maisha kufuatia ajali ya ndege nchini Ethiopia zimefanya kikao na serikali hii leo kupitia wizara ya mashauri ya kigeni.
Mkutano huo umeangazia masuala kuhusu fidia na uchunguzi wa chembechembe za DNA unaoendelea nchini Ethiopia.
Kwenye mkutano huo, serikali ilizishauri familia hizo kuwa na umoja kwenye kundi lenye wasimamizi watakaoshirikiana na serikali kufuatilia sula la fidia.

Show More

Related Articles