HabariMilele FmSwahili

Boinnet awahakikishia usalama wakaazi wa Lamu

Inspecta  generali wa polisi  Joseph Boinnet amewahakikishia usalama wakaazi wa kaunti ya Lamu, akisema vikosi vya usalama vimefanikiwa kukabili tishio la ugaidi kaunti hiyo. Akizungumza alipoudhuria hafla ya kuidhinisha msikiti Riyadha kuwa makavazi ya kitaifa Boinet anasema idara ya polisi itashirikiana na viongozi wa msikiti huo kudumisha usalama.

Show More

Related Articles