HabariPilipili FmPilipili FM News

Achoki Ameshinikiza Wakenya Kujitokeza Kujisajili Kwa Huduma Namba.

Kamishna wa kaunti ya Mombasa Evans Achoki amewaomba viongozi wa kidini kusaidiana na maafisa wa serikali katika kuhamasisha wananchi kuhusu umuhimu wa kusajiliwa kupata HUDUMA NAMBA.

Achoki pia amewataka wakazi wa mombasa kujitokeza kwa usajili huo na kushirikiana vyema na wanaoendesha zoezi hilo.

 

Show More

Related Articles