HabariSwahili

Musalia Mudavadi aelezea mustakabali wake siasani


Kiongozi wa chama cha Amani National Congress ANC Musalia Mudavadi amesema kuwa ana azma ya kuwania kiti cha urais mwaka 2022 na kusema hajuti kutokana na misukosuko iliyoshuhudiwa ndani ya muungano wa NASA na hajuti kufanya kazi na Raila Odinga kama wengi walivyodhania.
Kwenye mahojiano ya kipekee na mwanahabari wetu wa masuala ya kisiasa Anders Ihachi nyumbani kwake sabatia katika kaunti ya Vihiga Mudavadi vile vile ameunga mkono msukumo wa kuwepo kwa kura ya maamuzi.

Also read:   NASA yapuuzilia mbali uamuzi wa IEBC kutenga Oktoba 17 siku ya uchaguzi

Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker