HabariSwahili

Rais ajiunga na waombolezaji katika ibada ya wafu 47 Solai

Rais Uhuru Kenyatta amejiunga na maelfu ya waombolezaji waliofika katika  uwanja wa kanisa la AIC Solai katika ibada ya wafu, ya watu 47 walioangamia katika mkasa wa poromoko wa bwawa la Solai wiki iliyopita.
Rais Kenyatta katika ujumbe wake kwa jamaa waliopoteza maisha yao, rais amesema serikali itasimama nao na wote walioathirika na mafuriko kote nchini.

Also read:   Ndindi Nyoro guthingata aikari a Murang'a gukaneyumiria kwa wuingi guikia kura

Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker