HabariSwahili

Zaidi ya familia 25 kusalia bila makao kufuatia gharika Murang’a


Zaidi ya ekari 20 zimeharibiwa na mvua katika kaunti ya Muranga mapema hiii leo huku zaidi ya familia 25 zikisalia bila makao.
Haya yanajiri baada ya mafuriko katika eneo hilo ambapo kwa sasa wakaazi hao wanakadiria hasara huku wakiomba  msaada wa vyakula kutoka kwa serikali kuu .

Also read:   Abithaa umwe wa borithi gukuruhanio na kunyita kia hinya muiritu wa miaka 17
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker