HabariK24 TvSwahiliVideos

Afisa wa police awauwa mkewe na bintiye, Nakuru

Afisa mmoja wa polisi kutoka kitengo cha kupambana na visa vya wizi wa mifugo amemuua mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka mitano pamoja na mkewe kwa kuwapiga risasi katika kambi ya Suswa kaunti ya Nakuru.
Inasemekana koplo Cosmas Biwott alitumia bunduki ya mwenzake kutekeleza uhalifu huo usiku wa kuamkia leo.
Yadaiwa afisa huyo na mkewe wamekuwa wakihusika ugomvi mara kwa mara na huenda ndio chanzo cha mauaji hayo.

Also read:   2 suspects arrested, hundreds of litres of illegal molasses nabbed in Nakuru

Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker