HabariSwahiliVideos

Mbunge wa Nandi Hills Alfred Keter na wengine 2 wakamatwa

Mbunge wa Nandi Hills Alfred Keter na watu wengine wawili wametiwa mbaroni na kupelekwa katika makao makuu ya upelelezi wa jinai, kwa madai ya kupatikana na hati ghushi za dhamana za thamani ya shilingi milioni 633.
Watatu hao walikamatwa na maafisa wa polisi wa benki kuu nchini wa kitengo cha kupambana na ufisadi, walipokuwa katika ofisi hizo za benki kuu nchini.

Also read:   Devolution CS Anne Waiguru defends herself against allegations of impropriety

Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker