HabariK24 TvSwahiliVideos

Musyoka sasa asema kiapo cha Raila ni kinyume cha sheria

Kizungumkuti kinachozingira muungano wa NASA tangia kula kiapo kwa kinara Raila Odinga kinazidi kutokota.
Hii ni baada ya kinara mweza Kalonzo Musyoka aliyetarajiwa kula kiapo hivi karibuni kunakiliwa akisema kwamba ulaji kiapo huo ni kinyume cha sheria.
Kalonzo anasema badala yake mashauriano ya kina yanafaa kupewa kipau mbele baina ya vyama tanzu vya NASA.

Also read:   Mbunge cia kando iria ciendekithitio ni NASA ti njitikiriku gigatiba

Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker