Rais Kenyatta, Ruto wakutana na wabunge wa Jubilee,Ikuluni

Rais Kenyatta, Ruto wakutana na wabunge wa Jubilee,Ikuluni

Wabunge waasi wa Jubilee sasa wanakabiliwa na athari ya kuadhibiwa kwa kukosa kufuata maagizo ya chama.
Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wanasema hawatakubali wanaokiuka sheria za chama na kwamba wahusika watakabiliwa vilivyo kwa kuwa umoja wa wanasiasa wote wa Jubilee ni njia mojawapo ya kufanikisha ajenda ya serikali.

Also read:   Muteti Lawrence Nginyo kũũria Raila Odinga atĩĩye uuge wa igoti rĩa Supreme

Related posts

MNL App
MNL App