Mabasi ya shule kupakwa rangi ya manjano ifikiapo mwisho wa Machi

Mabasi ya shule kupakwa rangi ya manjano ifikiapo mwisho wa Machi

Ikiwa leo ni siku ya mwisho kwa wanafunzi wa kidato  cha kwanza kuripoti katika shule za upili walikoitwa nchini  ,wizara ya elimu imewaongezea muda wa wiki moja wanafunzi wa shule ya upili ya maeneo ya Pwani.
Kaimu waziri wa elimu daktari Fred Matiangi  alisema kuwa alifikia uamuzi huo kwa ajili ya idadi ya  wanafunzi walioripoti  katika maeneo hayo kuwa wachache. hayo yamejiri huku Matiang’i akiagiza mabasi ya shule kuendesha shughuli kati ya saa kumi na mbili alfajiri na saa kumi na mbili jioni, na pia yapakwe rangi ya manjano ifikiapo mwishoni mwa mwezi Machi.

Also read:   Uhuru kwanirira ugaruruku munini thirikari-ini

Related posts

MNL App
MNL App