HabariK24 TvSwahiliVideos

Serikali kukaza kamba dhidi ya mchezo wa kamari na pombe haramu


Waziri wa usalama wa ndani Fred Matian’gi amesema kuwa serikali haitachelea kuwachukulia hatua za kisheria watu ambao wamekuwa wakiendesha biashara  ya kamari na pombe haramu, ambayo imekuwa ikienea katika sehemu mbali mbali za nchi.
Matiang’i pia anawataka makamisha wa kaunti na manaibu wao pamoja na machifu  kuwajibika na kuhakikisha kuwa sheria imefuatwa katika maeneo wanakofanya kazi.

Also read:   KNEC cancels results of 1,205 KCSE candidates

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker