Waziri aagiza wanaohujumu uhamisho wa walimu washtakiwe

Waziri aagiza wanaohujumu uhamisho wa walimu washtakiwe

Waziri wa usalama na kaimu  waziri wa elimu Fred Matiang’i amesisistiza kuwa hawatarudi nyuma katika shughuli ya uhamisho wa waalimu wakuu kutoka shule za maeneo wanamoishi hadi shule za mbali, huku akitaka viongozi wanaohujumu shughuli hiyo wakamatwe na kushtakiwa bila huruma.
Matiang’i alikuwa akihutubia makamishna wa kimaeneo na wa kaunti jijini.
Hayo yamejiri huku wawakilishi watano wa wadi waliopinga ukaribisho wa mwalimu mkuu mpya wa shule ya wasichana ya St Joseph kwenye eneo la Kibwezi wakiachiliwa kwa dhamana ya shilingi laki tano.

Also read:   Minista Fred Matiang'i gukumithia ngwataniro ya NASA kurumirira uthukangia wa indo

Related posts

MNL App
MNL App