Wananchi Wa Waombwa Kutowatenga Wafungwa Wanaorudi Katika Jamii

Wananchi Wa  Waombwa Kutowatenga Wafungwa Wanaorudi Katika Jamii
PilipiliPhotography

Jamii katika kaunti ya Taita Taveta imetakiwa kutowatenga waliokuwa wafungwa na ambao wamerekebisha tabia na kurejea mitaani na badala yake kuwaonyesha upendo.

Ni usemi wa Charles Ogur afisa anayesimamia gereza la Wundanyi ambaye anasema kuwatenga wafungwa wanaorudi katika jamii huwafanya kujiona wapweke, hali ambayo huchangia baadhi yao kurejelea uhalifu na kurudishwa gerezani.

Also read:   Kufa Kupona: Kazi ya kuchimba madini Taita Taveta

Ogur ameyasema haya wakati wa kuwatembelea wafungwa katika gereza la wundanyi ili nao wajihisi kukumbukwa.

Post source : pilipili

Related posts

MNL App
MNL App